My fans i've been kimya kimtindo ila mambo mazuri...hivi karibuni mtapata kuona na kusikia kazi yangu mpya inaitwa Mapigo...ni mkono wa Q the Donn wa Mo Records na video kama kawa anakamatia Kinye wa KINYE MEDIA...usipime, kaa mkao wa kula sikukuu na hii ngoma yangu.
Hallaa!!
Friday, December 17, 2010
Friday, November 5, 2010
ALMOST MEZANI

Mazeee mazeeee...kimya kingi kina mshindo mkuu, Tayari nimeshamaliza kuipika album yangu, baada ya siku chache nitawapa report kuhusu kifuatacho....miongoni ni ngoma ntakayoiachia, u knw what? I have eleven tight tracks, im cracking my head kujua niwape kipi kati ya vyote hivi...anyways, tunaendeleza harakati na still nahitaj support yako wewe mwenye mapenzi mema na Chamber, Darkmaster, na Hip Hop.
1lov.
Wednesday, September 15, 2010
BATA LA EID
Wednesday, September 1, 2010
SO CLOSE KUTENGA MLO
Sunday, August 22, 2010
King Roland Ft. Darkmaster


Roland (kwenye picha) ambaye ndio King of freestyle wa Rock City aliyepatikana juzi kati katika shindano lililoandaliwa na Straight Music n Clouds Entertainment ameingia chimbo tayari kupika vitu vyake kwa ajili ya ujio wake.
Hivi karibuni ameingia katika studio za MO Records chini ya Producer Q the Donn na kurecord track inayoitwa Huu ndio Muda na amenishirikisha mimi darkmaster...hahahaaaa..kaeni mkao wa kula mazee.
Wednesday, August 18, 2010
NEW SINGLE

Nakaribia kutoa Single mpyaa kabisa inayoitwa serikali ya East Zuu...nimeifanya katika studio mpya jijini mwanza inayoitwa E Production...producer wangu ni yuleyule Samtimber (kwenye picha)
Pia track hii ndo ntakayoifanyia video hapahapa jijini mwanza na itaidirect Kinye wa Kinye Media..kampuni iliyofanya video yangu iliyopita ya wimbo Nisikilize.
Kaeni mkao wa kula watu wangu.
Friday, August 6, 2010
Thursday, August 5, 2010
WANNA GUESS WATS COOKIN?

Q the Donn n Me
Ni hivi mazee..ngoma yangu mpya iko jiran kabisa kusikika hewani..inaitwa "Hamtakih" na nimefanya na Bwana Misosi katika studio za Mo Records producer akiwa Q the Donn (kwenye picha) aka the gifted hands.
Fans wangu msione niko kimya...lah, naandaa mambo mengi sana ya kusogeza gurudumu hili panapotakiwa.
Ninakamilisha mpango wa kuzindua Serikali yangu itakayoitwa Jamuhuri ya Watu wa East Zuu(URE)
Jamuhuri hii ni ya watu wanaotaka maendeleo ya muziki wangu na wa watu wangu wa East Zuu kwa ujumla....wanachama wanakaribishwa kutoka pande zote za dunia hii na kauli mbiu ni AZIMIO LA EAST ZUU
HAPPY BILATED BIRTHDAY BUDDY
Tuesday, June 15, 2010
After kimya kirefu
Mazee niko jikoni kwa track mpya then kuachia na video nyingine...on top of hayo pia naachia nguo zenye label yangu...4 mo info kaeni mkao wa kula.
Darkmaster.
Tuesday, May 18, 2010
MISOSI HONGERA


Nachukua fursa hii kueleza miguso ya mtima wangu kwa kumpongeza my men Bw. Misosi aka food kwa kuchukua tuzo ya wimbo bora wa Ragga katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards...he really deserved kushinda and thank to ya all kwa kuvote au kwa support yoyote mliyoonyesha kwake. Harakati zinaendelea...subirini mengi mazuri toka kwangu. 1love.
Darkmaster.
Thursday, April 15, 2010
Harakati zinaendelea


Still in Lake zone nikikamilisha album yangu na kufanya matamasha...im very close to my men Bwana Misosi n pamoja we quench kiu za mashabiki wetu...pia nichukue nafasi hii kumpongeza msela wangu Misosi kwa kuwa kwenye kinyang'anyiro cha Kili Music Awards ktk category ya wimbo bora wa Ragga...the dude deserves it cz track iko poa sana, so guys lets hook him up kwa kumpigia kura.
Pia the new video of our song Cheza unavyoweza iko tayari..expect to watch it kwenye stations mbalimbali prity soon. Kinye wa Kinye media company ambayo imefanya video hii anasema mengi yanakuja so guys pamoja sana.
Darkmaster.
Pia the new video of our song Cheza unavyoweza iko tayari..expect to watch it kwenye stations mbalimbali prity soon. Kinye wa Kinye media company ambayo imefanya video hii anasema mengi yanakuja so guys pamoja sana.
Darkmaster.
Wednesday, March 24, 2010
Tuesday, March 23, 2010
Wednesday, March 17, 2010
mwanachemba
OYOOOOO funz wangu popote pale mlipo...nawapenda sana na nawaheshimu mno, without you there is no me, I do it for the love of hiphop ila pia i do it for ya mazee.
Kwa maoni yenu msiyopenda kutokea kwenye blog hii, mwaweza kuyatuma ktk namba yangu ambayo ni 0759834461.
1love.
Darkmaster.
Kwa maoni yenu msiyopenda kutokea kwenye blog hii, mwaweza kuyatuma ktk namba yangu ambayo ni 0759834461.
1love.
Darkmaster.
HIPHOP AM IN LOVE WITH YOU

Hiphop you make me think BIG!!
You give reasons to exist in this world of sin...i adore you hiphop!!
You give me friends,
You give me funs,
You give me enemies who realy strengthen me n give me more reasons to love you hiphop.
One hundred years from now...it will not matter what kind of car i drove,
...what kind of house i lived in,
or what kind of woman i went out with na mengine mengi....
but the world may be a little better because i was important in the LIFE OF HIPHOP!! Ntakufa na wewe Hiphop.
Darkmaster.
Thursday, March 11, 2010
Never ever til its over



Mapamabano yanaendelea....Hip Hop naipenda na nitaipigania til my last drop ya damu,
I knw kuwa wapo binadamu wanaochukizwa na mtu bila hata kukwaruzana..i accept that cz its human nature, lakini nataka kuwahakikishia wote wanaotaka kurudisha maendeleo yangu nyuma kuwa SITOTISHWA WALA KUKATISHWA TAMAA na yale wafanyayo.
1LUV.
Darkmaster na Misosi...East African Hit


That video niliyowaambia b4 kuwa ipo jikoni ndo tayari ishapakuliwa...kifanyikacho sasa ni maandalizi ya kuisambaza kwenye stations zote za Television.
Its a gorgeous work done by Kinye wa KINYE MEDIA and we hope that the video will expose him zaid coz the guy has done only two videoz and already he is the talk of the city.
Mengine mengi yanafuata...Jah Bless u all!!
Darkmaster.
Thursday, February 25, 2010
on way to a concert
On my way to Geita with Bw Misosi for a concert wikiendi hii...
Your prayers fellaz!!
Darkmaster.
Your prayers fellaz!!
Darkmaster.
Tuesday, February 23, 2010
CHEZA UNAVYOWEZA


Hii ni track mpya ya Bwana misosi na mimi...it's a dancehall ting, kama kawa imefanyika A2P under Samtimber n kichupa by Kinye.
Video imefanyika club as ujuavyo dancehall inabamba wapi...but some maujanja have been added watu wakasonga outdoor kucheza dancehall wawezavyo, unajua ni wapi?GARAGE MZEE!
Vuta subira ushuhudie East African Heat hii ambayo ni duet la kufa mtu.
Darkmaster.
Monday, February 22, 2010
new relizd single

Nimeachia Single mpya goes by the name Nisikilize...imefanyika ndani ya studio za A2P Mwanza producer akiwa "the man onfire" Samtimber.
Track ni duet ya mtu mbili as kiitikio kakikandamiza Cheleaman n Most of all the single is already on screen after a serious job done by Kinye wa KINYE MEDIA....put ur eyes straight kuwatch kichupa hicho na masikio yasikie pia.
Darkmaster
Karibuni
Subscribe to:
Posts (Atom)