Wednesday, August 18, 2010

NEW SINGLE


Nakaribia kutoa Single mpyaa kabisa inayoitwa serikali ya East Zuu...nimeifanya katika studio mpya jijini mwanza inayoitwa E Production...producer wangu ni yuleyule Samtimber (kwenye picha)
Pia track hii ndo ntakayoifanyia video hapahapa jijini mwanza na itaidirect Kinye wa Kinye Media..kampuni iliyofanya video yangu iliyopita ya wimbo Nisikilize.
Kaeni mkao wa kula watu wangu.

No comments:

Post a Comment