

Hii ni track mpya ya Bwana misosi na mimi...it's a dancehall ting, kama kawa imefanyika A2P under Samtimber n kichupa by Kinye.
Video imefanyika club as ujuavyo dancehall inabamba wapi...but some maujanja have been added watu wakasonga outdoor kucheza dancehall wawezavyo, unajua ni wapi?GARAGE MZEE!
Vuta subira ushuhudie East African Heat hii ambayo ni duet la kufa mtu.
Darkmaster.
No comments:
Post a Comment