Thursday, August 5, 2010

WANNA GUESS WATS COOKIN?


Q the Donn n Me
Ni hivi mazee..ngoma yangu mpya iko jiran kabisa kusikika hewani..inaitwa "Hamtakih" na nimefanya na Bwana Misosi katika studio za Mo Records producer akiwa Q the Donn (kwenye picha) aka the gifted hands.
Fans wangu msione niko kimya...lah, naandaa mambo mengi sana ya kusogeza gurudumu hili panapotakiwa.
Ninakamilisha mpango wa kuzindua Serikali yangu itakayoitwa Jamuhuri ya Watu wa East Zuu(URE)
Jamuhuri hii ni ya watu wanaotaka maendeleo ya muziki wangu na wa watu wangu wa East Zuu kwa ujumla....wanachama wanakaribishwa kutoka pande zote za dunia hii na kauli mbiu ni AZIMIO LA EAST ZUU

No comments:

Post a Comment