Thursday, April 15, 2010

Harakati zinaendelea




Still in Lake zone nikikamilisha album yangu na kufanya matamasha...im very close to my men Bwana Misosi n pamoja we quench kiu za mashabiki wetu...pia nichukue nafasi hii kumpongeza msela wangu Misosi kwa kuwa kwenye kinyang'anyiro cha Kili Music Awards ktk category ya wimbo bora wa Ragga...the dude deserves it cz track iko poa sana, so guys lets hook him up kwa kumpigia kura.
Pia the new video of our song Cheza unavyoweza iko tayari..expect to watch it kwenye stations mbalimbali prity soon. Kinye wa Kinye media company ambayo imefanya video hii anasema mengi yanakuja so guys pamoja sana.
Darkmaster.

No comments:

Post a Comment