Sunday, August 22, 2010

King Roland Ft. Darkmaster



Roland (kwenye picha) ambaye ndio King of freestyle wa Rock City aliyepatikana juzi kati katika shindano lililoandaliwa na Straight Music n Clouds Entertainment ameingia chimbo tayari kupika vitu vyake kwa ajili ya ujio wake.
Hivi karibuni ameingia katika studio za MO Records chini ya Producer Q the Donn na kurecord track inayoitwa Huu ndio Muda na amenishirikisha mimi darkmaster...hahahaaaa..kaeni mkao wa kula mazee.

No comments:

Post a Comment