Saturday, February 19, 2011

Wosap my people

yes watu wangu wa ukweli...valentines ndo imepita and i hope u had a gud one...nilikuwa na show Don na wajukuu wenzangu wa Chimwaga, we still pressing the button.
Tayari taratibu za kuisambaza Mapigo kwenye tv stations zimekamilika so kuanzia sasa waweza iona katika lopcal channelz na hata za nchi jirani.
ONE LOVE.

Friday, January 21, 2011

http://www.youtube.com/watch?v=4LsZ94Yi5Yw

Ahadi ni?......!!

We made it..now watch my video...
soon itakua kwenye vituo vyote vya tv tho kutokana na ukubwa wa technology waweza icheck hapa kwanza na pia youtube...we search mapigo then kichupa kitatokea. Au search link hii...www.youtube.com/watch?v=4Ls94Yi5Yw
Big up kwa kinye wa kinye media...big up kwa Q wa mo records...big kwa woteeeee waliochangia kwenye wimbo na video hii.

Friday, December 17, 2010

NIAAAAAAAAAJEEEEEEEEE

My fans i've been kimya kimtindo ila mambo mazuri...hivi karibuni mtapata kuona na kusikia kazi yangu mpya inaitwa Mapigo...ni mkono wa Q the Donn wa Mo Records na video kama kawa anakamatia Kinye wa KINYE MEDIA...usipime, kaa mkao wa kula sikukuu na hii ngoma yangu.
Hallaa!!

Friday, November 5, 2010

ALMOST MEZANI


Mazeee mazeeee...kimya kingi kina mshindo mkuu, Tayari nimeshamaliza kuipika album yangu, baada ya siku chache nitawapa report kuhusu kifuatacho....miongoni ni ngoma ntakayoiachia, u knw what? I have eleven tight tracks, im cracking my head kujua niwape kipi kati ya vyote hivi...anyways, tunaendeleza harakati na still nahitaj support yako wewe mwenye mapenzi mema na Chamber, Darkmaster, na Hip Hop.

1lov.

Wednesday, September 15, 2010

BATA LA EID






Mazee Eid ya mwaka huu tulikua maeneo ya Sengerema...nikiwa na my right hand dawg Bwana Misosi kama kawa tulikutana na machizi kibao waoheshimika ktk sanaa ya bongo....feruz, jmo, mox, richone, na wana wengine kibao, aisee tuliwashika watu ileile.....checkshia masnaps tuliyopiga.

BATA LA EID

Wednesday, September 1, 2010

SO CLOSE KUTENGA MLO

On my way to Kisiwani
ndani ya kivuko

Mazee niko mapumzikoni kisiwani, mapumziko haya nayatumia kukamilisha kile nilichowaahidi "album yangu"
Sitowangusha watu wangu...pamoja tupeleke gurudumu la hiphop panapotakiwa.
1LOVE.

Sunday, August 22, 2010

King Roland Ft. Darkmaster



Roland (kwenye picha) ambaye ndio King of freestyle wa Rock City aliyepatikana juzi kati katika shindano lililoandaliwa na Straight Music n Clouds Entertainment ameingia chimbo tayari kupika vitu vyake kwa ajili ya ujio wake.
Hivi karibuni ameingia katika studio za MO Records chini ya Producer Q the Donn na kurecord track inayoitwa Huu ndio Muda na amenishirikisha mimi darkmaster...hahahaaaa..kaeni mkao wa kula mazee.

Wednesday, August 18, 2010

NEW SINGLE


Nakaribia kutoa Single mpyaa kabisa inayoitwa serikali ya East Zuu...nimeifanya katika studio mpya jijini mwanza inayoitwa E Production...producer wangu ni yuleyule Samtimber (kwenye picha)
Pia track hii ndo ntakayoifanyia video hapahapa jijini mwanza na itaidirect Kinye wa Kinye Media..kampuni iliyofanya video yangu iliyopita ya wimbo Nisikilize.
Kaeni mkao wa kula watu wangu.

Thursday, August 5, 2010

WANNA GUESS WATS COOKIN?


Q the Donn n Me
Ni hivi mazee..ngoma yangu mpya iko jiran kabisa kusikika hewani..inaitwa "Hamtakih" na nimefanya na Bwana Misosi katika studio za Mo Records producer akiwa Q the Donn (kwenye picha) aka the gifted hands.
Fans wangu msione niko kimya...lah, naandaa mambo mengi sana ya kusogeza gurudumu hili panapotakiwa.
Ninakamilisha mpango wa kuzindua Serikali yangu itakayoitwa Jamuhuri ya Watu wa East Zuu(URE)
Jamuhuri hii ni ya watu wanaotaka maendeleo ya muziki wangu na wa watu wangu wa East Zuu kwa ujumla....wanachama wanakaribishwa kutoka pande zote za dunia hii na kauli mbiu ni AZIMIO LA EAST ZUU

THANKS MAZEE


I feel blessed kuona mnavyosupport kazi zangu kwa kutoa airtym kwenye show yenu "top ujazo" D7 and Maliz thanks to ya all.

Viva Hip Hop.

HAPPY BILATED BIRTHDAY BUDDY


Hivi karibun i ilikua Bithday ya msela wangu Bwana Misosi...he blew candles za kutosha tu, meeeen he is getting old.

Tuesday, June 15, 2010

After kimya kirefu

Mazee niko jikoni kwa track mpya then kuachia na video nyingine...on top of hayo pia naachia nguo zenye label yangu...4 mo info kaeni mkao wa kula.
Darkmaster.

Tuesday, May 18, 2010

MISOSI HONGERA



Nachukua fursa hii kueleza miguso ya mtima wangu kwa kumpongeza my men Bw. Misosi aka food kwa kuchukua tuzo ya wimbo bora wa Ragga katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards...he really deserved kushinda and thank to ya all kwa kuvote au kwa support yoyote mliyoonyesha kwake. Harakati zinaendelea...subirini mengi mazuri toka kwangu. 1love.
Darkmaster.

Thursday, April 15, 2010

Harakati zinaendelea




Still in Lake zone nikikamilisha album yangu na kufanya matamasha...im very close to my men Bwana Misosi n pamoja we quench kiu za mashabiki wetu...pia nichukue nafasi hii kumpongeza msela wangu Misosi kwa kuwa kwenye kinyang'anyiro cha Kili Music Awards ktk category ya wimbo bora wa Ragga...the dude deserves it cz track iko poa sana, so guys lets hook him up kwa kumpigia kura.
Pia the new video of our song Cheza unavyoweza iko tayari..expect to watch it kwenye stations mbalimbali prity soon. Kinye wa Kinye media company ambayo imefanya video hii anasema mengi yanakuja so guys pamoja sana.
Darkmaster.