Sunday, August 22, 2010

King Roland Ft. Darkmaster



Roland (kwenye picha) ambaye ndio King of freestyle wa Rock City aliyepatikana juzi kati katika shindano lililoandaliwa na Straight Music n Clouds Entertainment ameingia chimbo tayari kupika vitu vyake kwa ajili ya ujio wake.
Hivi karibuni ameingia katika studio za MO Records chini ya Producer Q the Donn na kurecord track inayoitwa Huu ndio Muda na amenishirikisha mimi darkmaster...hahahaaaa..kaeni mkao wa kula mazee.

Wednesday, August 18, 2010

NEW SINGLE


Nakaribia kutoa Single mpyaa kabisa inayoitwa serikali ya East Zuu...nimeifanya katika studio mpya jijini mwanza inayoitwa E Production...producer wangu ni yuleyule Samtimber (kwenye picha)
Pia track hii ndo ntakayoifanyia video hapahapa jijini mwanza na itaidirect Kinye wa Kinye Media..kampuni iliyofanya video yangu iliyopita ya wimbo Nisikilize.
Kaeni mkao wa kula watu wangu.

Thursday, August 5, 2010

WANNA GUESS WATS COOKIN?


Q the Donn n Me
Ni hivi mazee..ngoma yangu mpya iko jiran kabisa kusikika hewani..inaitwa "Hamtakih" na nimefanya na Bwana Misosi katika studio za Mo Records producer akiwa Q the Donn (kwenye picha) aka the gifted hands.
Fans wangu msione niko kimya...lah, naandaa mambo mengi sana ya kusogeza gurudumu hili panapotakiwa.
Ninakamilisha mpango wa kuzindua Serikali yangu itakayoitwa Jamuhuri ya Watu wa East Zuu(URE)
Jamuhuri hii ni ya watu wanaotaka maendeleo ya muziki wangu na wa watu wangu wa East Zuu kwa ujumla....wanachama wanakaribishwa kutoka pande zote za dunia hii na kauli mbiu ni AZIMIO LA EAST ZUU

THANKS MAZEE


I feel blessed kuona mnavyosupport kazi zangu kwa kutoa airtym kwenye show yenu "top ujazo" D7 and Maliz thanks to ya all.

Viva Hip Hop.

HAPPY BILATED BIRTHDAY BUDDY


Hivi karibun i ilikua Bithday ya msela wangu Bwana Misosi...he blew candles za kutosha tu, meeeen he is getting old.