Saturday, February 19, 2011

Wosap my people

yes watu wangu wa ukweli...valentines ndo imepita and i hope u had a gud one...nilikuwa na show Don na wajukuu wenzangu wa Chimwaga, we still pressing the button.
Tayari taratibu za kuisambaza Mapigo kwenye tv stations zimekamilika so kuanzia sasa waweza iona katika lopcal channelz na hata za nchi jirani.
ONE LOVE.

1 comment:

  1. Kaka kimyaa mbona kimyaaaaaaaaaaaa the dark MASTER! NGOMA MPYA !@ DJ sammd

    ReplyDelete