Tuesday, February 23, 2010

CHEZA UNAVYOWEZA


Hii ni track mpya ya Bwana misosi na mimi...it's a dancehall ting, kama kawa imefanyika A2P under Samtimber n kichupa by Kinye.
Video imefanyika club as ujuavyo dancehall inabamba wapi...but some maujanja have been added watu wakasonga outdoor kucheza dancehall wawezavyo, unajua ni wapi?GARAGE MZEE!
Vuta subira ushuhudie East African Heat hii ambayo ni duet la kufa mtu.
Darkmaster.

Monday, February 22, 2010

full mamoshi kwenye....more fire!!

new relizd single


Nimeachia Single mpya goes by the name Nisikilize...imefanyika ndani ya studio za A2P Mwanza producer akiwa "the man onfire" Samtimber.
Track ni duet ya mtu mbili as kiitikio kakikandamiza Cheleaman n Most of all the single is already on screen after a serious job done by Kinye wa KINYE MEDIA....put ur eyes straight kuwatch kichupa hicho na masikio yasikie pia.
Darkmaster

Karibuni


Karibuni kwenye site yangu...kwa maoni, ushauri, na matakwa ili kuitii kiu yenu.
Pata fursa ya kusikiliza na kuzitazama nyimbo zangu kupitia Blog hii na zaid kusoma lyrics za nyimbo hizo.
Darkmaster.