
Mazeee mazeeee...kimya kingi kina mshindo mkuu, Tayari nimeshamaliza kuipika album yangu, baada ya siku chache nitawapa report kuhusu kifuatacho....miongoni ni ngoma ntakayoiachia, u knw what? I have eleven tight tracks, im cracking my head kujua niwape kipi kati ya vyote hivi...anyways, tunaendeleza harakati na still nahitaj support yako wewe mwenye mapenzi mema na Chamber, Darkmaster, na Hip Hop.
1lov.